We’ve updated our Terms of Use to reflect our new entity name and address. You can review the changes here.
We’ve updated our Terms of Use. You can review the changes here.

Uliyeumba (Mbingu Na Nchi) feat. Mbuvi

from All I Can Say by Webi

/

lyrics

UBETI: Mfano wa upendo wako, ni ulivyo tupa mwanao, pendo dhahiri. Vitendo vya kuhangaisha, maneno ya kudhoofisha, ulistahimili. Kwa badala yetu sisi, kafa msalabani, uhakika wa faraja kamili. Nafsi zetu kaziosha, maisha ya upili, hivi tulivyo tu viumbe vipya a a a a..

KIPOKEO: Nashangazwa ulivyo yajali yetu maisha, wema wako, hauna kifani. Ni wewe pekee unayefaa kuabudiwa siku zote, ulieumba mbingu na nchi..

UBETI:
Nue kwakwa ivia yitathingithaw’a,
Nue kwakwa thayu wa tene na tene eee
Ila nai Mwau wambukililye wangwatiiya
Nue Ngwisilasya nue waw’o nue eee

Nzeng’aswa nzeng’aswa ni maundu maku monthe
Nzeng’aswa nzeng’aswa ni wendo waku kwakwa Vava
Nzeng’aswa nzeng’aswa ta nzenga nzenye usenyo
Nue wakwa waw’o nue Mwiai

credits

from All I Can Say, released July 25, 2009

license

all rights reserved

tags

about

Webi Nairobi, Kenya

Benjamin Webi is an artiste based in Nairobi, Kenya. His music blends African and contemporary R&B influences to produce a timeless sound, laced over inspirational lyrics.

contact / help

Contact Webi

Streaming and
Download help

Shipping and returns

Redeem code

Report this track or account

Webi recommends:

If you like Webi, you may also like: